1 Peter 1:13-14

13 aKwa hiyo, tayarisheni nia zenu kwa kazi; mwe na kiasi, mkitumainia kikamilifu ile neema mtakayopewa Isa Al-Masihi atakapodhihirishwa. 14 bKama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga.
Copyright information for SwhKC